News and Events
May 23, 2025
940
Bandari College invited Officials from other Goverment Institutions to conduct awareness programmes to students
In today’s rapidly evolving world, awareness is more than knowledge. It's a vital tool for survival, success, and responsible citizenship. Bandari College Dar es Salaam is increasingly embracing awareness programmes to equip its students with crucial life…
May 22, 2025
943
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kupitia Chuo cha Bandari Dar es Salaam, imejipanga kuendeleza uhusiano na Taasisi za Kimataifa ili kuwajengea uwezo Watumishi wake na kuwawezesha kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Viwango vya Kimataifa v
Katika kuendelea na utekelezaji wa mkakati huo, Chuo cha Bandari Dar es Salaam kimepokea ugeni kutoka Chuo cha APEC kilicho chini ya Bandari ya Antwerp ya nchini Ubelgiji na Umoja wa Ulaya (EU) kwa ajili ya majadiliano ya kushirikiana katika kujenga uwezo kwa…
May 21, 2025
855
Chuo cha Bandari kimewapatia mafunzo ya uandishi wa tafiti wakufunzi wake
Mafunzo haya yenye lengo la kuongeza uelewa na kuendeleza taaluma katika uandishi wa tafiti zinazohusu shughuli za usafirishaji na bandari yalikua jumuishi yakiongozwa na mtaalamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam katika Shule ya Biashara, Dkt. Cosmas…
May 18, 2025
1093
Mafunzo ya Supervisory Management Skills kwa wafanyakazi wa Tanzania East Africa Gateway Terminal yafanyika katika Chuo cha Bandari Dar es Salaam.
Lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wa usimamizi dhabiti wa mahali pa kazi ili kuongeza ufanisi. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa chuo cha Bandari kwa muda wa wiki tatu na kuhitimishwa tarehe 19/03/2025. Chuo kinaendelea kuwakaribisha taasisi…
Nov 06, 2024
1320
Mafunzo ya mafuta na gesi yaliyofanyika katika Chuo cha Bandari kuwajengea uwezo washiriki wa mafunzo hayo kufanya kazi kwa weledi na ufanisi.
Chuo cha Bandari Dar es Salaam kinaendesha mafunzo ya Wiki moja katika Fani ya Mafuta na Gesi ili kuwajengea uwezo Washiriki wa Mafunzo hayo kufanya kazi zao kwa Weledi na Ufanisi. Mafunzo hayo yamefunguliwa na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bandari Bw. Paul Humbi na…
Oct 07, 2024
1451
Chuo cha Bandari kinaendesha mafunzo ya "Port operations" kwa wafanyakazi wa kurugenzi za Sheria na Ulinzi. Mafunzo mengine ni "Port Pricing and Tariff na "Terminal and Yard Planning" yanayofanyika kwa wafanyakazi wa Idara ya Utekelezaji.
Katika kutekeleza majukumu yake ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wa bandari, Chuo cha Bandari kinaendesha mafunzo ya "Port operations" kwa wafanyakazi wa kurugenzi za Sheria…
Oct 06, 2024
1136
Chuo cha Bandari Dar es salam kilivyoshiriki maadhimisho ya siku ya usafiri wa maji duniani na miaka 50 ya uanachama wa IMO
Chuo cha Bandari Dar es salam cha shiriki maadhimisho ya siku ya Usafiri wa maji duniani na Miaka 50 ya uanachama wa IMO kwa Tanzania. Maadhimisho haya yamepambwa na kauli mbiu isemayo “Mustakabali wa Uendeshaji vyombo vya Usafiri majini: Usalama…
Oct 06, 2024
1151
Ugeni kutoka Chuo cha India cha 'Adani Skills Development Centre' katika kuendeleza mashirikiano kwenye mafunzo ya nadharia na vitendo
Chuo cha Bandari kinaendelea kupokea wadau mbalimbali kwaajili ya kuendeleza mashirikiano katika eneo la mafunzo kwa njia ya nadharia na vitendo.Chuo kimepokea uongozi wa chuo cha Adani Skill Development Centre kutoka India.Lengo la ugeni huo ni kuendeleza…
Oct 03, 2024
1980
Orientation week for the new students for the academic year 2025/2026 at Bandari College Dar es Salaam
The college is about to start its first semester for the academic year 2025/2026. The college is welcoming all selected students to begin their academic journey with the best college in shipping and Port Management.
Oct 03, 2024
1468
Mafunzo ya waendesha mtambo wa reachstacker katika mgodi wa dhahabu wa Geita, Geita Gold Mine
Chuo cha Bandari kimefunga rasmi mafunzo ya Waendesha mtambo wa Reach-Stacker. Mafunzo hayo yaliendeshwa katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kuanzia tarehe 30 Septemba hadi 11 Oktoba 2024. Mwakilishi wa Mkuu wa Chuo Bw.Franco Mwakatage ameishukuru…
Aug 22, 2024
3605
Bandari College customer persuassion visits to our stakeholders and customers
Looking for the best college of shipping and port management. Bandari College got you covered with excellent customer care and good service. Integrity, stability, good governance and team work is all we can offer to our clients. Customer persuassion visit at…
Aug 21, 2024
1540
Kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ikiendesha Mafunzo kwa Wakufunzi wa Chuo cha Bandari
Katika kutekeleza jukumu la kimsingi la utoaji mafunzo ya kujenga uwezo kwa wakufunzi wa vyuo, Kampuni ya Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) inaendesha mafunzo ya siku mbili (2) ya "Train of Trainers" kwa wakufunzi wa Chuo cha Bandari kuanzia…
Aug 15, 2024
6246
Mafunzo ya Tower na Mobile Crane, Lifting na Rigging yakitolewa Bulyanhulu-Kahama katika Mgodi wa Barrick
Wakufunzi wakitoa mafunzo ya Lifting na Rigging, Mobile na Tower Crane yaliyofanyika Bulyanhulu - Kahama katika mgodi wa Barrick (Barrick Gold Mining). Mafunzo haya yalianza tarehe 29/07/2024 na kumalizika tarehe 09/08/2024
Aug 15, 2024
3877
Mafunzo ya Forklift yakitolewa na Chuo cha Bandari kwa Watumishi kutoka MSD katika Bandari ya Tanga
Chuo cha Bandari kinaendelea kutoa mafunzo na ushauri wa kitaalamu kwa taasisi mbalimbali ili kuongeza ufanisi katika maeneo ya kazi. Kwa kupitia madarasa yaliyopo katika Bandari ya Tanga, washiriki wa Bohari ya Madawa Tanzania (MSD) wamepatiwa mafunzo ya…
Jan 22, 2023
6609
Chuo cha Bandari kikitoa mafunzo ya kozi fupi kwa mdau mkubwa wa usafirishaji, Alistair Group Kurasini Dar es Salaam
Chuo cha Bandari chazidi kujipambanua ubora wake kupitia mafunzo ya uendeshaji wa mashine kupitia kozi zinazotolewa. Mafunzo ya Crane yakiendelea kwa mdau mkubwa wa usafirishaji, Alistair Group Kurasini Dar es Salaam. Chuo kinaendelea kutoa mafunzo ya kozi za…
Jan 11, 2023
3007
Chuo cha Bandari kimepokea wageni kutoka nchini India, ambao ni wadau muhimu katika shughuli za Bandari
Wadau hao ambao wamefanya ziara ya kikazi katika chuo cha Bandari ili kujua aina ya kozi zitolewazo na kujifunza shughuli mbalimbali za Chuo cha Bandari ya Dar es Salaam. Chuo Cha Bandari ni Chuo pekee katika Usimamizi na Uendeshaji wa Shughuli za Meli na…
Dec 16, 2022
5050
Chuo cha Bandari chaendelea kung'ara katika utoaji wa Mafunzo ya uendeshaji wa Mashine katika eneo la Migodini, Barrick - Bulyanhulu, Shinyanga.
Chuo cha Bandari chaendelea kung'ara katika utoaji wa Mafunzo ya uendeshaji wa Mashine katika eneo la Migodini, Barrick - Bulyanhulu, Shinyanga.
Apr 19, 2020
4034
Simulation Training for Port Equipments at Bandari College Simulator Room
Short course students performing ship to shore gantry (SSG) simulation as one among other full mission simulator equipments. Driving simulator contains forklift, reachstacker, mobile telescope and inland terminal vehicle equipments for simulation. Full…

