Wadau hao ambao wamefanya ziara ya kikazi katika chuo cha Bandari ili kujua aina ya kozi zitolewazo na kujifunza shughuli mbalimbali za Chuo cha Bandari ya Dar es Salaam.
Chuo Cha Bandari ni Chuo pekee katika Usimamizi na Uendeshaji wa Shughuli za Meli na Bandari.