Bandari College
+255-22-2857114   pbc@ports.go.tz

Mkuu wa Chuo cha Bandari Dr. Lufunyo S. Hussein akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, Mr. Eric B. Hamissi na mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Bandari, Engineer Anthony F. Swai wakimkaribisha mgeni rasmi Mh. Atupele Mwakibete Naibu Waziri Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi) katika mahafali ya 20 ya Chuo cha Bandari iliyofanyika Ijumaa tarehe 21 Januari 2022.