Bandari College
+255-22-2857114   pbc@ports.go.tz

Chuo cha Bandari chazidi kujipambanua ubora wake kupitia mafunzo ya uendeshaji wa mashine kupitia kozi zinazotolewa. Mafunzo ya Crane yakiendelea kwa mdau mkubwa wa usafirishaji, Alistair Group Kurasini Dar es Salaam. Chuo kinaendelea kutoa mafunzo ya kozi za muda mfupi, karibu ujiunge.

Chuo cha Bandari ni Chuo pekee katika Usimamizi na Uendeshaji wa Shughuli za Meli na Bahari.

Alistair Mafunzo Darasani 2

Alistair Maintenance Mitambo

Alistair Forklift

Alistair Marketing Zawadi

Alistair BC Official for Marketing and QA